Psalms 25:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usimwache anayekutumainia apate aibu; lakini waaibike wote wanaokuasi kwa makusudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kamwe hakuna hata mmoja anayekutegemea atakayeaibishwa, bali wataaibishwa wafanyao hila bila sababu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, wakungojao hawataaibika hata mmoja; Wataaibika watendao uhaini bila sababu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usimwache anayekutumainia apate aibu; lakini waaibike wote wanaokuasi kwa makusudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kamwe hakuna hata mmoja anayekutegemea atakayeaibishwa, bali wataaibishwa wafanyao hila bila sababu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kamwe hakuna hata mmoja anayekutegemea atakayeaibishwa, bali wataaibishwa wafanyao hila bila sababu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, wakungojao hawataaibika hata mmoja; Wataaibika watendao uhaini bila sababu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usimwache anayekutumainia apate aibu; lakini waaibike wote wanaokuasi kwa makusudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawatapatwa na soni kabisa wote wakungojeao, watakaopatwa na soni ndio wakupingao bure.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, wakungojao hawataaibika hata mmoja; Wataaibika watendao uhaini bila sababu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usimwache anayekutumainia kupata haya; lakini wafezeheke wote wanaokuasi kwa makusudi.