Psalms 25:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uikumbuke huruma yako ee Mwenyezi-Mungu; uzikumbuke na fadhili zako kuu, ambazo zimekuwako tangu kale.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kumbuka, Ee Mwenyezi Mungu, rehema zako kuu na upendo, kwa maana zimekuwepo tangu zamani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, kumbuka rehema zako na fadhili zako, Maana zimekuwako tokea zamani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uikumbuke huruma yako ee Mwenyezi-Mungu; uzikumbuke na fadhili zako kuu, ambazo zimekuwako tangu kale.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kumbuka, Ee BWANA, rehema zako kuu na upendo, kwa maana zimekuwapo tangu zamani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kumbuka, Ee bwana, rehema zako kuu na upendo, kwa maana zimekuwepo tangu zamani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, kumbuka rehema zako na fadhili zako, Maana zimekuwako tokea zamani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uikumbuke huruma yako ee Mwenyezi-Mungu; uzikumbuke na fadhili zako kuu, ambazo zimekuwako tangu kale.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumbuka, Bwana, huruma zako na magawio ya upoke wako! Kwani yaliyo ya kale na kale ndiyo hayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, kumbuka rehema zako na fadhili zako, Maana zimekuwako tokea zamani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, ukumbuke rehema yako na wema wako ambazo ni za milele.