Psalms 25:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usikumbuke dhambi na makosa ya ujana wangu; unikumbuke kadiri ya fadhili zako, kwa ajili ya wema wako, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usizikumbuke dhambi za ujana wangu wala njia zangu za uasi, sawasawa na upendo wako unikumbuke, kwa maana wewe ni mwema, Ee Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiyakumbuke makosa ya ujana wangu, Wala maasi yangu. Unikumbuke kwa kadiri ya fadhili zako, Ee Bwana kwa ajili ya wema wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usikumbuke dhambi na makosa ya ujana wangu; unikumbuke kadiri ya fadhili zako, kwa ajili ya wema wako, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usizikumbuke dhambi za ujana wangu wala njia zangu za uasi, sawasawa na upendo wako unikumbuke, kwa maana wewe ni mwema, Ee BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usizikumbuke dhambi za ujana wangu wala njia zangu za uasi, sawasawa na upendo wako unikumbuke, kwa maana wewe ni mwema, Ee bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usiyakumbuke makosa ya ujana wangu, Wala maasi yangu. Unikumbuke kwa kadiri ya fadhili zako, Ee BWANA kwa ajili ya wema wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usikumbuke dhambi na makosa ya ujana wangu; unikumbuke kadiri ya fadhili zako, kwa ajili ya wema wako, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiyakumbuke maovu, niliyokukosea nilipokuwa kijana, ila unikumbuke kwa upole wako, Bwana, kwani u mwema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiyakumbuke makosa ya ujana wangu, Wala maasi yangu. Unikumbuke kwa kadiri ya fadhili zako, Ee BWANA kwa ajili ya wema wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usikumbuke zambi na makosa ya ujana wangu; unikumbuke kwa kadiri ya wema wako, kwa ajili ya uzuri wako, ee Yawe.