Psalms 25:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ni mwema na mnyofu, kwa hiyo huwafundisha wenye dhambi njia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ni mwema na mwenye adili, kwa hiyo huwafundisha wenye dhambi njia zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana yu mwema, mwenye adili, Kwa hiyo atawafundisha wenye dhambi njia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ni mwema na mnyofu, kwa hiyo huwafundisha wenye dhambi njia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ni mwema na mwenye adili, kwa hiyo huwafundisha wenye dhambi njia zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ni mwema na mwenye adili, kwa hiyo huwafundisha wenye dhambi njia zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA yu mwema, mwenye adili, Kwa hiyo atawafundisha wenye dhambi njia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ni mwema na mnyofu, kwa hiyo huwafundisha wenye dhambi njia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ni mwema na mwongofu; kwa hiyo huonya wakosaji, wakiwa njiani bado.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA yu mwema, mwenye adili, Kwa hiyo atawafundisha wenye dhambi njia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ni muzuri na wa usawa, kwa hiyo anawafundisha wakosaji njia.