Psalms 26:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya Daudi) Ee Mwenyezi-Mungu, unitetee, maana nimeishi bila hatia, nimekutumainia wewe bila kusita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, nithibitishe katika haki, maana nimeishi maisha yasiyo na lawama; nimemtumainia Mwenyezi Mungu bila kusitasita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, unihukumu mimi, Maana nimekwenda kwa ukamilifu wangu, Nami nimemtumaini Bwana bila wasiwasi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, unitetee, maana nimeishi bila hatia, nimekutumainia wewe bila kusita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi Ya Daudi) Ee BWANA, unithibitishe katika haki, maana nimeishi maisha yasiyo na lawama; nimetumainia BWANA bila kusitasita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, nithibitishe katika haki, maana nimeishi maisha yasiyo na lawama; nimemtumainia bwana bila kusitasita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, unihukumu mimi, Maana nimekwenda kwa ukamilifu wangu, Nami nimemtumaini BWANA bila wasiwasi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, unitetee, maana nimeishi bila hatia, nimekutumainia wewe bila kusita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa mimi nimeendelea pasipo kosa, niamulie, Bwana! Bwana ndiye, nimwegemeaye pasipo kutikisika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, unihukumu mimi, Maana nimekwenda kwa ukamilifu wangu, Nami nimemtumaini BWANA bila wasiwasi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaburi ya Daudi. Ee Yawe, unitetee, maana nimeishi katika ukamilifu, nimekutumainia wewe bila kusita.