Psalms 26:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
watu ambao matendo yao ni maovu daima, watu ambao wamejaa rushwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambao mikononi mwao kuna mipango miovu, ambao mikono yao ya kuume imejaa rushwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mikononi mwao mna madhara, Na mkono wao wa kuume umejaa rushwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
watu ambao matendo yao ni maovu daima, watu ambao wamejaa rushwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambao mikononi mwao kuna mipango miovu, ambao mikono yao ya kuume imejaa rushwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambao mikononi mwao kuna mipango miovu, ambao mikono yao ya kuume imejaa rushwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mikononi mwao mna madhara, Na mkono wao wa kuume umejaa rushwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
watu ambao matendo yao ni maovu daima, watu ambao wamejaa rushwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mikononi mwao yamo mapotovu, mikono yao ya kuume imejaa mapenyezo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mikononi mwao mna madhara, Na mkono wao wa kuume umejaa rushwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
watu ambao matendo yao ni maovu kila wakati, watu ambao wanapokea kituliro kila wakati.