Psalms 26:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mimi ninaishi kwa unyofu; unihurumie na kunikomboa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali mimi ninaishi maisha yasiyo na lawama; nikomboe na unihurumie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ila mimi nitakwenda kwa ukamilifu wangu; Unikomboe, unifanyie fadhili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mimi ninaishi kwa unyofu; unihurumie na kunikomboa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bali mimi ninaishi maisha yasiyo na lawama, unikomboe na unihurumie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali mimi ninaishi maisha yasiyo na lawama; nikomboe na unihurumie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ila mimi nitakwenda kwa ukamilifu wangu; Unikomboe, unifanyie fadhili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mimi ninaishi kwa unyofu; unihurumie na kunikomboa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mimi ninaendelea pasipo kosa; kwa kunihurumia nikomboe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ila mimi nitakwenda kwa ukamilifu wangu; Unikomboe, unifanyie fadhili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mimi ninaishi katika ukamilifu; unihurumie na kunikomboa.