Psalms 26:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi nimesimama mahali palipo imara; nitamsifu Mwenyezi-Mungu katika kusanyiko kubwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miguu yangu imesimama katika uwanja tambarare; katika kusanyiko kuu nitamsifu Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mguu wangu umesimama palipo sawa; Katika makusanyiko nitamhimidi Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi nimesimama mahali palipo imara; nitamsifu Mwenyezi-Mungu katika kusanyiko kubwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miguu yangu imesimama katika uwanja tambarare; katika kusanyiko kuu nitamsifu BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miguu yangu imesimama katika uwanja tambarare; katika kusanyiko kuu nitamsifu bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mguu wangu umesimama palipo sawa; Katika kusanyiko kuu nitamhimidi BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi nimesimama mahali palipo imara; nitamsifu Mwenyezi-Mungu katika kusanyiko kubwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miguu yangu huenda paliponyoka, nimtukuze Bwana katika mikutano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mguu wangu umesimama palipo sawa; Katika makusanyiko nitamhimidi BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi nimesimama pahali penye kuwa imara; nitamusifu Yawe katika kusanyiko kubwa.