Psalms 26:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unijaribu, ee Mwenyezi-Mungu, na kunipima; uchunguze moyo wangu na akili zangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, unijaribu, unipime, uuchunguze moyo wangu na mawazo yangu;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, unijaribu na kunipima; Unisafishe mtima wangu na moyo wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unijaribu, ee Mwenyezi-Mungu, na kunipima; uchunguze moyo wangu na akili zangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, unijaribu, unipime, uuchunguze moyo wangu na mawazo yangu;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, unijaribu, unipime, uuchunguze moyo wangu na mawazo yangu;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, unijaribu na kunipima; Unisafishe akili yangu na moyo wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unijaribu, ee Mwenyezi-Mungu, na kunipima; uchunguze moyo wangu na akili zangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nijaribu, Bwana, na kunipima, unichuje mafigo, hata moyo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, unijaribu na kunipima; Unisafishe mtima wangu na moyo wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unijaribu, ee Yawe, na kunipima; uchunguze moyo wangu na akili yangu.