Psalms 26:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fadhili zako ziko mbele ya macho yangu, ninaishi kutokana na uaminifu wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana upendo wako uko mbele yangu daima, nami natembea siku zote katika kweli yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana fadhili zako zi mbele ya macho yangu, Nami nimekwenda katika kweli yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fadhili zako ziko mbele ya macho yangu, ninaishi kutokana na uaminifu wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana upendo wako uko mbele yangu daima, nami natembea siku zote katika kweli yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana upendo wako uko mbele yangu daima, nami natembea siku zote katika kweli yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana fadhili zako zi mbele ya macho yangu, Nami nimekwenda katika kweli yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fadhili zako ziko mbele ya macho yangu, ninaishi kutokana na uaminifu wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wema wako uko machoni pangu, nami huendelea kukuwia mwelekevu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana fadhili zako zi mbele ya macho yangu, Nami nimekwenda katika kweli yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wema wako uko mbele ya macho yangu, ninaishi kutokana na uaminifu wako.