Psalms 26:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sijumuiki na watu wapotovu; sishirikiani na watu wanafiki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siketi pamoja na watu wadanganyifu, wala siandamani na wanafiki,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sikuketi pamoja na watu wa ubatili, Wala sitaingia mnamo wanafiki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sijumuiki na watu wapotovu; sishirikiani na watu wanafiki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siketi pamoja na watu wadanganyifu, wala siandamani na wanafiki,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siketi pamoja na watu wadanganyifu, wala siandamani na wanafiki,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sikai pamoja na watu waovu, Wala sitaingia kuwa pamoja na wanafiki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sijumuiki na watu wapotovu; sishirikiani na watu wanafiki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sikai pamoja na watu walio wapuzi tu, wala walio wenye kinyume siingii mwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sikuketi pamoja na watu wa ubatili, Wala sitaingia mnamo wanafiki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikusanyiki na watu wapotovu; sishirikiani na watu wanafiki.