Psalms 26:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nachukia mikutano ya wabaya; wala sitajumuika na waovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ninachukia kusanyiko la watenda maovu, na ninakataa kuketi pamoja na waovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimelichukia kusanyiko la watenda mabaya, Wala sitaketi pamoja na watu waovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nachukia mikutano ya wabaya; wala sitajumuika na waovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ninachukia kusanyiko la watenda mabaya na ninakataa kuketi pamoja na waovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ninachukia kusanyiko la watenda mabaya na ninakataa kuketi pamoja na waovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimelichukia kusanyiko la watenda mabaya, Wala sitaketi pamoja na watu waovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nachukia mikutano ya wabaya; wala sitajumuika na waovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninachukizwa na mkutano wao wafanyao mabaya, wala sikai pamoja nao wambezao Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimelichukia kusanyiko la watenda mabaya, Wala sitaketi pamoja na watu waovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninachukia mikutano ya wabaya; wala sitakusanyika na waovu.