Psalms 26:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nanawa mikono yangu kuonesha sina hatia, na kuizunguka madhabahu yako, ee Mwenyezi-Mungu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninanawa mikono yangu kwa kuwa sina hatia, naikaribia madhabahu yako, Ee Mwenyezi Mungu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitanawa mikono yangu kwa kutokuwa na hatia, Na kuizunguka madhabahu yako, Ee Bwana
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nanawa mikono yangu kuonesha sina hatia, na kuizunguka madhabahu yako, ee Mwenyezi-Mungu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninanawa mikono yangu kuonyesha kuwa sina hatia na kuikaribia madhabahu yako, Ee BWANA,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninanawa mikono yangu kwa kuwa sina hatia, naikaribia madhabahu yako, Ee bwana,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitanawa mikono yangu bila ya kuwa na hatia, Na kuizunguka madhabahu yako, Ee BWANA
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nanawa mikono yangu kuonesha sina hatia, na kuizunguka madhabahu yako, ee Mwenyezi-Mungu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitainawa mikono yangu kwa maji yaondoayo makosa, kisha nitatokea kuzunguka mezani pako, Bwana;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitanawa mikono yangu kwa kutokuwa na hatia, Na kuizunguka madhabahu yako, Ee BWANA
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninanawa mikono yangu kuonyesha kama sina kosa, na kuizunguka mazabahu yako, ee Yawe,