Psalms 26:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nikiimba wimbo wa shukrani, na kusimulia matendo yako yote ya ajabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nikitangaza sifa yako kwa sauti kubwa, huku nikisimulia matendo yako ya ajabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ili niitangaze sauti ya kushukuru, Na kuzisimulia kazi zako za ajabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nikiimba wimbo wa shukrani, na kusimulia matendo yako yote ya ajabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nikitangaza sifa yako kwa sauti kubwa huku nikisimulia matendo yako ya ajabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nikitangaza sifa yako kwa sauti kubwa, huku nikisimulia matendo yako ya ajabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ili niitangaze sauti ya kushukuru, Na kuzisimulia kazi zako za ajabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nikiimba wimbo wa shukrani, na kusimulia matendo yako yote ya ajabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, nitakapozipaza sauti, nikushukuru nikiyasimulia makuu yako yote ya kustaajabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ili niitangaze sauti ya kushukuru, Na kuzisimulia kazi zako za ajabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nikiimba wimbo wa shukrani, na kueleza matendo yako ya ajabu.