Psalms 26:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, napenda makao yako, mahali unapokaa utukufu wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, naipenda nyumba yako unakoishi, mahali pale utukufu wako hukaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, nimependa makao ya nyumba yako, Na mahali pa maskani ya utukufu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, napenda makao yako, mahali unapokaa utukufu wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, naipenda nyumba yako mahali unakoishi, mahali ambapo utukufu wako hukaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, naipenda nyumba yako mahali unakoishi, mahali ambapo utukufu wako hukaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, nimependa makao ya nyumba yako, Na mahali pa maskani ya utukufu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, napenda makao yako, mahali unapokaa utukufu wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, napapenda hapo, Nyumba yako ilipo, ndipo mahali, unapokaa utukufu wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, nimependa makao ya nyumba yako, Na mahali pa maskani ya utukufu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, ninapenda makao yako, pahali utukufu wako unapokaa.