Psalms 26:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usiniangamize pamoja na wenye dhambi, wala usinitupe pamoja na wauaji,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiiondoe nafsi yangu pamoja na watenda dhambi, wala uhai wangu pamoja na wanaomwaga damu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiiondoe nafsi yangu pamoja na wakosaji, Wala uhai wangu pamoja na watu wa damu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiniangamize pamoja na wenye dhambi, wala usinitupe pamoja na wauaji,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiiondoe nafsi yangu pamoja na watenda dhambi, uhai wangu pamoja na wamwaga damu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiiondoe nafsi yangu pamoja na watenda dhambi, wala uhai wangu pamoja na wamwagao damu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usiiondoe nafsi yangu pamoja na wakosaji, Wala uhai wangu pamoja na wauaji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usiniangamize pamoja na wenye dhambi, wala usinitupe pamoja na wauaji,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiikusanye roho yangu pamoja nazo zao wakosaji! Usininyime uzima pamoja nao wauao wenzao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiiondoe nafsi yangu pamoja na wakosaji, Wala uhai wangu pamoja na watu wa damu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usiniangamize pamoja na wenye zambi, wala usinitupe pamoja na wauaji,