Psalms 27:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata kama wazazi wangu wakinitupa, Mwenyezi-Mungu atanipokea kwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata baba yangu na mama yangu wakiniacha, Mwenyezi Mungu atanipokea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baba yangu na mama yangu wameniacha, Bali Bwana atanikaribisha kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata kama wazazi wangu wakinitupa, Mwenyezi-Mungu atanipokea kwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata kama baba yangu na mama wakiniacha, BWANA atanipokea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata kama baba yangu na mama wakiniacha, bwana atanipokea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata baba yangu na mama yangu wakiniacha, Bali BWANA atanikaribisha kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata kama wazazi wangu wakinitupa, Mwenyezi-Mungu atanipokea kwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani baba na mama wakiniacha, Bwana hunifikiza kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baba yangu na mama yangu wameniacha, Bali BWANA atanikaribisha kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata kama wazazi wangu wakinitupa, Yawe atanipokea kwake.