Psalms 27:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unifundishe njia yako, ee Mwenyezi-Mungu; uniongoze katika njia iliyo sawa, kwa sababu ya maadui zangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nifundishe njia yako, Ee Mwenyezi Mungu, niongoze katika njia iliyo nyoofu, kwa sababu ya watesi wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, unifundishe njia yako, Na kuniongoza katika njia iliyonyoka; Kwa sababu yao wanaoniotea;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unifundishe njia yako, ee Mwenyezi-Mungu; uniongoze katika njia iliyo sawa, kwa sababu ya maadui zangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nifundishe njia yako, Ee BWANA, niongoze katika njia iliyonyooka kwa sababu ya watesi wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nifundishe njia yako, Ee bwana, niongoze katika njia iliyonyooka kwa sababu ya watesi wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, unifundishe njia yako, Na kuniongoza katika njia iliyonyoka; Kwa sababu yao wanaoniotea;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unifundishe njia yako, ee Mwenyezi-Mungu; uniongoze katika njia iliyo sawa, kwa sababu ya maadui zangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, nifundishe njia yako na kuniongoza, nifuate mapito yanyokayo, waninyatiao wasinipate!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, unifundishe njia yako, Na kuniongoza katika njia iliyonyoka; Kwa sababu yao wanaoniotea;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unifundishe njia yako, ee Yawe. Uniongoze katika njia inayokuwa sawa kwa sababu ya waadui zangu.