Psalms 27:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usiniache maadui wanitende wapendavyo; maana mashahidi wa uongo wananikabili, nao wanatoa vitisho vya ukatili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiniachilie kwa nia za adui zangu, kwa maana mashahidi wa uongo wameinuka dhidi yangu, wakipumua ujeuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usinitie katika nia ya watesi wangu; Maana mashahidi wa uongo wameniondokea, Nao watoao jeuri kama pumzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiniache maadui wanitende wapendavyo; maana mashahidi wa uongo wananikabili, nao wanatoa vitisho vya ukatili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usinitie katika nia ya adui zangu, kwa maana mashahidi wa uongo wameinuka dhidi yangu, wakipumua jeuri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiniachilie kwa nia za adui zangu, kwa maana mashahidi wa uongo wameinuka dhidi yangu, wakipumua ujeuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usinitie katika nia ya watesi wangu; Maana mashahidi wa uongo wamenijia, Nao watoao jeuri kama pumzi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usiniache maadui wanitende wapendavyo; maana mashahidi wa uongo wananikabili, nao wanatoa vitisho vya ukatili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usinitie mikononi mwao wanisongao! Kwani ndio mashahidi wa uwongo walioniinukia, nao, kusudi wanikorofishe, hunifokea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usinitie katika nia ya watesi wangu; Maana mashahidi wa uongo wameniondokea, Nao watoao jeuri kama pumzi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usiniache waadui wanitendee wanavyopenda; maana washuhuda wa uongo wananiinukia, nao wanatoa vitisho vyao vikali.