Psalms 27:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naamini nitauona wema wake Mwenyezi-Mungu katika makao ya walio hai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nami bado nina tumaini hili: nitauona wema wa Mwenyezi Mungu katika nchi ya walio hai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naamini ya kuwa nitauona wema wa Bwana Katika nchi ya walio hai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naamini nitauona wema wake Mwenyezi-Mungu katika makao ya walio hai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nami bado nina tumaini hili: nitauona wema wa BWANA katika nchi ya walio hai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nami bado nina tumaini hili: nitauona wema wa bwana katika nchi ya walio hai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naamini ya kuwa nitauona wema wa BWANA Katika nchi ya walio hai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naamini nitauona wema wake Mwenyezi-Mungu katika makao ya walio hai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ninayetegemea ya kwamba: Nitaona meme ya Bwana katika nchi yao walio hai.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naamini ya kuwa nitauona wema wa BWANA Katika nchi ya walio hai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninaamini kwamba nitauona uzuri wa Yawe katika makao ya wazima.