Psalms 27:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waovu wakinishambulia, na kutaka kuniangamiza, hao wapinzani wangu watajikwaa na kuanguka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waovu watakaposogea dhidi yangu ili wale nyama yangu, adui zangu na watesi wangu watakaponishambulia, watajikwaa na kuanguka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watenda mabaya waliponikaribia, Wanile nyama yangu, Watesi wangu na adui zangu, Walijikwaa wakaanguka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waovu wakinishambulia, na kutaka kuniangamiza, hao wapinzani wangu watajikwaa na kuanguka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waovu watakaposogea dhidi yangu ili waile nyama yangu, adui zangu na watesi wangu watakaponishambulia, watajikwaa na kuanguka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waovu watakaposogea dhidi yangu ili wanile nyama yangu, adui zangu na watesi wangu watakaponishambulia, watajikwaa na kuanguka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watenda mabaya waliponikaribia, Wanile nyama yangu, Watesi wangu na adui zangu, Walijikwaa wakaanguka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waovu wakinishambulia, na kutaka kuniangamiza, hao wapinzani wangu watajikwaa na kuanguka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wafanyao mabaya wanikaribia, wanile nyama zangu, lakini wanisongao nao wanichukiao watakajikwaa, waanguke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watenda mabaya waliponikaribia, Wanile nyama yangu, Watesi wangu na adui zangu, Walijikwaa wakaanguka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waovu wakinishambulia, na kutaka kuniangamiza, hao wapinzani wangu watajikwaa na kuanguka.