Psalms 27:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata jeshi likinizunguka, moyo wangu hautaogopa kitu; hata nikikabiliwa na vita, bado nitakuwa na tumaini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata jeshi linizingire pande zote, moyo wangu hautaogopa; hata vita vitokee dhidi yangu, hata hapo nitakuwa na ujasiri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jeshi lijapojipanga kupigana nami, Moyo wangu hautaogopa. Vita vijaponitokea, Hata hapo nitatumaini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata jeshi likinizunguka, moyo wangu hautaogopa kitu; hata nikikabiliwa na vita, bado nitakuwa na tumaini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata jeshi linizunguke pande zote, moyo wangu hautaogopa; hata vita vitokee dhidi yangu, hata hapo nitakuwa na ujasiri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata jeshi linizunguke pande zote, moyo wangu hautaogopa; hata vita vitokee dhidi yangu, hata hapo nitakuwa na ujasiri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jeshi lijapojipanga kupigana nami, Moyo wangu hautaogopa. Vita vijaponitokea, Hata hivyo nitamtumaini BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata jeshi likinizunguka, moyo wangu hautaogopa kitu; hata nikikabiliwa na vita, bado nitakuwa na tumaini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ijapo kikosi kizima kinivizie, moyo wangu hauogopi; vita vikinitokea, ninalo egemeo langu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jeshi lijapojipanga kupigana nami, Moyo wangu hautaogopa. Vita vijaponitokea, Hata hapo nitatumaini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata jeshi likinizunguka, moyo wangu hautaogopa kitu; hata nikishambuliwa kwa vita, sitakata tumaini.