Psalms 27:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ya taabu atanificha bandani mwake; atanificha katika hema lake, na kunisalimisha juu ya mwamba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa siku ya shida, atanihifadhi salama katika maskani yake, atanificha uvulini mwa hema lake, na kuniweka juu kwenye mwamba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mradi atanisitiri bandani mwake siku ya mabaya, Atanisitiri katika sitara ya hema yake, Na kuniinua juu ya mwamba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ya taabu atanificha bandani mwake; atanificha katika hema lake, na kunisalimisha juu ya mwamba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa siku ya shida, atanihifadhi salama maskani mwake, atanificha uvulini mwa hema yake na kuniweka juu kwenye mwamba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa siku ya shida, atanihifadhi salama katika maskani yake, atanificha uvulini mwa hema yake na kuniweka juu kwenye mwamba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana atanisitiri bandani mwake siku ya mabaya, Atanisitiri katika sitara ya hema yake, Na kuniinua juu ya mwamba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ya taabu atanificha bandani mwake; atanificha katika hema lake, na kunisalimisha juu ya mwamba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hunifunika kambini kwake, siku ikiwa mbaya; hunificha fichoni penye hema lake akinikweza mwambani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mradi atanisitiri bandani mwake siku ya mabaya, Atanisitiri katika sitara ya hema yake, Na kuniinua juu ya mwamba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ya taabu atanificha ndani ya nyumba yake; atanificha katika hema lake, atanilinda salama juu ya mulima.