Psalms 27:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usikie, ee Mwenyezi-Mungu, ninapokulilia, unionee huruma na kunijibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isikie sauti yangu nikuitapo, Ee Mwenyezi Mungu, unihurumie na unijibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, usikie, kwa sauti yangu ninalia, Unifadhili, unijibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usikie, ee Mwenyezi-Mungu, ninapokulilia, unionee huruma na kunijibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uisikie sauti yangu nikuitapo, Ee BWANA, unihurumie na unijibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isikie sauti yangu nikuitapo, Ee bwana, unihurumie na unijibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, usikie, kwa sauti yangu ninalia, Unifadhili, unijibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usikie, ee Mwenyezi-Mungu, ninapokulilia, unionee huruma na kunijibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, isikie sauti yangu, ninapokuita, uniwie mpole na kuniitikia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, usikie, kwa sauti yangu ninalia, Unifadhili, unijibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usikie, ee Yawe, ninapokulilia, unionee huruma na kunijibu.