Psalms 27:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Moyo wangu waniambia: “Njoo umtafute Mungu!” Basi, naja kwako, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Moyo wangu unasema kuhusu wewe, “Utafute uso wake!” Uso wako, Mwenyezi Mungu “Nitautafuta.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uliposema, Nitafuteni uso wangu, Moyo wangu umekuambia, Bwana, uso wako nitautafuta.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Moyo wangu waniambia: “Njoo umtafute Mungu!” Basi, naja kwako, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Moyo wangu unasema kuhusu wewe, “Utafute uso wake!” Uso wako, BWANA “Nitautafuta.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Moyo wangu unasema kuhusu wewe, “Utafute uso wake!” Uso wako, bwana “Nitautafuta.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uliposema, “Nitafuteni uso wangu,” Moyo wangu umekuambia, BWANA, uso wako nitautafuta.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Moyo wangu waniambia: “Njoo umtafute Mungu!” Basi, naja kwako, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Moyo wangu unakukumbusha neno lako, lile la kwamba: Utafuteni uso wangu! Sasa ninauelekea uso wako, Bwana, kwa kuutafuta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uliposema, Nitafuteni uso wangu, Moyo wangu umekuambia, BWANA, uso wako nitautafuta.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Moyo wangu unaniambia: “Kuja umutafute Mungu!” Basi, ninakutafuta, ee Yawe.