Psalms 28:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikiliza sauti ya ombi langu, ninapokulilia unisaidie, ninapoinua mikono yangu kuelekea maskani yako takatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikia kilio changu nikikuomba unihurumie, ninapokuita ili unisaidie, ninapoinua mikono yangu kuelekea Patakatifu pa Patakatifu pako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uisikie sauti ya dua yangu nikuombapo, Nikipainulia patakatifu pako mikono yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikiliza sauti ya ombi langu, ninapokulilia unisaidie, ninapoinua mikono yangu kuelekea maskani yako takatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikia kilio changu unihurumie ninapokuita kwa ajili ya msaada, niinuapo mikono yangu kuelekea Patakatifu pa Patakatifu pako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikia kilio changu unihurumie ninapokuita kwa ajili ya msaada, niinuapo mikono yangu kuelekea Patakatifu pa Patakatifu pako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uisikie sauti ya dua yangu nikuombapo, Nikipainulia patakatifu pako mikono yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikiliza sauti ya ombi langu, ninapokulilia unisaidie, ninapoinua mikono yangu kuelekea maskani yako takatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Zisikie sauti za malalamiko yangu, ninapokulilia nikikuinulia mikono yangu pale Patakatifu Penyewe palipo pako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uisikie sauti ya dua yangu nikuombapo, Nikipainulia patakatifu pako mikono yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikiliza sauti ya ombi langu, ninapokulilia unisaidie, ninapoinua mikono yangu kuelekea hekalu lako takatifu.