Psalms 28:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usinipatilize pamoja na watu wabaya, pamoja na watu watendao maovu: Watu wasemao na wenzao maneno ya amani, kumbe wamejaa uhasama moyoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiniburute pamoja na waovu, pamoja na hao watendao mabaya, ambao huzungumza na majirani zao maneno mazuri, lakini mioyoni mwao wameficha chuki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usinikokote pamoja na wasio haki, Wala pamoja na watenda maovu. Wawaambiao jirani zao maneno ya amani, Lakini mioyoni mwao mna madhara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usinipatilize pamoja na watu wabaya, pamoja na watu watendao maovu: watu wasemao na wenzao maneno ya amani, kumbe wamejaa uhasama moyoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiniburute pamoja na waovu, pamoja na hao watendao mabaya, ambao huzungumza na jirani zao maneno mazuri, lakini mioyoni mwao wameficha chuki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiniburute pamoja na waovu, pamoja na hao watendao mabaya, ambao huzungumza na jirani zao maneno mazuri, lakini mioyoni mwao wameficha chuki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usinikokote pamoja na wasio haki, Wala pamoja na watenda maovu. Wawaambiao jirani zao maneno ya amani, Lakini mioyoni mwao mna madhara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usinipatilize pamoja na watu wabaya, pamoja na watu watendao maovu: Watu wasemao na wenzao maneno ya amani, kumbe wamejaa uhasama moyoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usinipokonye pamoja nao wasiokucha, wala pamoja nao wafanyao maovu! Wao husema polepole na wenzao, lakini mioyoni mwao yamo mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usinikokote pamoja na wasio haki, Wala pamoja na watenda maovu. Wawaambiao jirani zao maneno ya amani, Lakini mioyoni mwao mna madhara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usiniazibu pamoja na watu wabaya, wale watenda maovu wanaosema vizuri na wenzao, kumbe wanajaa ubaya ndani ya moyo.