Psalms 28:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uwaadhibu kadiri ya matendo yao, kufuatana na maovu waliyotenda. Waadhibu kadiri ya matendo yao wenyewe; uwatendee yale wanayostahili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipe sawasawa na matendo yao, sawasawa na matendo yao maovu; walipe sawasawa na kazi za mikono yao, uwalipe wanavyostahili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uwape sawasawa na vitendo vyao, Na kwa kadiri ya ubaya wa kufanya kwao, Uwape sawasawa na kazi ya mikono yao, Uwalipe stahili zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uwaadhibu kadiri ya matendo yao, kufuatana na maovu waliyotenda. Waadhibu kadiri ya matendo yao wenyewe; uwatendee yale wanayostahili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uwalipe sawasawa na matendo yao, sawasawa na matendo yao maovu; walipe sawasawa na kazi za mikono yao, uwalipe wanavyostahili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipe sawasawa na matendo yao, sawasawa na matendo yao maovu; walipe sawasawa na kazi za mikono yao, uwalipe wanavyostahili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uwape sawasawa na vitendo vyao, Na kwa kadiri ya uovu wa matendo yao, Uwape sawasawa na kazi ya mikono yao, Uwalipe kile wanachostahili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uwaadhibu kadiri ya matendo yao, kufuatana na maovu waliyotenda. Waadhibu kadiri ya matendo yao wenyewe; uwatendee yale wanayostahili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uwape yazipasayo kazi zao na ubaya wa matendo yao, mishahara yao ipatane nayo, mikono yao yatendayo! Ndivyo, utakavyowarudishia yaliyofanyizwa nao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uwape sawasawa na vitendo vyao, Na kwa kadiri ya ubaya wa kufanya kwao, Uwape sawasawa na kazi ya mikono yao, Uwalipe stahili zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwalipe kwa kadiri ya matendo yao, kufuatana na maovu waliyotenda. Uwalipe kwa kadiri ya matendo yao wenyewe; uwatendee yale wanayostahili.