Psalms 28:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hawajali matendo ya Mwenyezi-Mungu; hawatambui mambo aliyoyafanya. Kwa sababu hiyo atawabomoa, wala hatawajenga tena upya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa hawaheshimu kazi za Mwenyezi Mungu, na yale ambayo mikono yake imetenda, atawabomoa na kamwe hatawajenga tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana hawazifahamu kazi za Bwana, Wala matendo ya mikono yake. Atawavunja wala hatawajenga;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hawajali matendo ya Mwenyezi-Mungu; hawatambui mambo aliyoyafanya. Kwa sababu hiyo atawabomoa, wala hatawajenga tena upya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa hawaheshimu kazi za BWANA, na yale ambayo mikono yake imetenda, atawabomoa na kamwe hatawajenga tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa hawaheshimu kazi za bwana, na yale ambayo mikono yake imetenda, atawabomoa na kamwe hatawajenga tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana hawazifahamu kazi za BWANA, Wala matendo ya mikono yake, Atawavunja wala hatawajenga tena;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hawajali matendo ya Mwenyezi-Mungu; hawatambui mambo aliyoyafanya. Kwa sababu hiyo atawabomoa, wala hatawajenga tena upya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kazi zake Bwana hawazitambui, wala mikono yake iyatendayo! yawayo yote, kwa hiyo atawavunja, asiwajenge tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana hawazifahamu kazi za BWANA, Wala matendo ya mikono yake. Atawavunja wala hatawajenga;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawashuguliki na matendo ya Yawe; hawatambui mambo aliyofanya. Kwa sababu hiyo atawabomoa, wala hatawajenga tena upya.