Psalms 28:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, maana amesikiliza ombi langu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ahimidiwe Mwenyezi Mungu, kwa maana amesikia kilio changu nikimwomba anihurumie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ahimidiwe Bwana. Maana ameisikia sauti ya dua yangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, maana amesikiliza ombi langu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA asifiwe, kwa maana amesikia kilio changu nikimwomba anihurumie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana asifiwe, kwa maana amesikia kilio changu nikimwomba anihurumie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ahimidiwe BWANA. Maana ameisikia sauti ya dua yangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, maana amesikiliza ombi langu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Apasaye kutukuzwa ni Bwana, kwani huzisikia sauti zao malalamiko yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ahimidiwe BWANA. Maana ameisikia sauti ya dua yangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atukuzwe Yawe, maana amesikiliza ombi langu.