Psalms 28:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ni nguvu ya watu wake; yeye ni kimbilio la wokovu kwa mfalme wake mteule.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ni nguvu ya watu wake, ngome ya wokovu kwa mpakwa mafuta wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ni nguvu za watu wake, Naye ni ngome ya wokovu kwa masihi
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ni nguvu ya watu wake; yeye ni kimbilio la wokovu kwa mfalme wake mteule.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ni nguvu ya watu wake, ngome ya wokovu kwa mpakwa mafuta wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ni nguvu ya watu wake, ngome ya wokovu kwa mpakwa mafuta wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ni nguvu za watu wake, Naye ni ngome ya wokovu kwa masihi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ni nguvu ya watu wake; yeye ni kimbilio la wokovu kwa mfalme wake mteule.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ni nguvu yao, walio wake, tena ni ngome imwokoayo aliyempaka mafuta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ni nguvu za watu wake, Naye ni ngome ya wokovu kwa masihi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ni nguvu ya watu wake; yeye ni kimbilio la mufalme aliyemuchagua.