Psalms 28:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mungu, uwaokoe watu wako; uwabariki watu hao walio mali yako. Uwe mchungaji wao na kuwategemeza milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waokoe watu wako na uubariki urithi wako; uwe mchungaji wao na uwabebe milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uwaokoe watu wako, uubariki urithi wako, Uwachunge, uwachukue milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mungu, uwaokoe watu wako; uwabariki watu hao walio mali yako. Uwe mchungaji wao na kuwategemeza milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waokoe watu wako na uubariki urithi wako; uwe mchungaji wao na uwabebe milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waokoe watu wako na uubariki urithi wako; uwe mchungaji wao na uwabebe milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uwaokoe watu wako, uubariki urithi wako, Uwachunge, uwachukue milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mungu, uwaokoe watu wako; uwabariki watu hao walio mali yako. Uwe mchungaji wao na kuwategemeza milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waokoe walio ukoo wako na kuwabariki watakaopata fungu kwako! Wachunge na kuwavumilia kale na kale!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uwaokoe watu wako, uubariki urithi wako, Uwachunge, uwachukue milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, uwaokoe watu wako; uwabariki watu hao wanaokuwa mali yako. Ukuwe muchungaji wao na kuwalinda milele.