Psalms 29:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya Daudi) Mpeni Mwenyezi-Mungu heshima enyi viumbe vya mbinguni, semeni Mwenyezi-Mungu ni mtukufu na mwenye nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpeni Mwenyezi Mungu, enyi mashujaa, mpeni Mwenyezi Mungu utukufu na nguvu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpeni Bwana, enyi wana wa Mungu, Mpeni Bwana utukufu na nguvu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpeni Mwenyezi-Mungu heshima enyi viumbe vya mbinguni, semeni Mwenyezi-Mungu ni mtukufu na mwenye nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi Ya Daudi) Mpeni BWANA Enyi mashujaa, mpeni BWANA utukufu na nguvu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpeni bwana, enyi mashujaa, mpeni bwana utukufu na nguvu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpeni BWANA, enyi wana wa Mungu, Mpeni BWANA utukufu na nguvu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpeni Mwenyezi-Mungu heshima enyi viumbe vya mbinguni, semeni Mwenyezi-Mungu ni mtukufu na mwenye nguvu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mheshimuni Bwana, mlio wana wa Mungu! Mheshimuni Bwana kuwa mtukufu na mnguvu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpeni BWANA, enyi wana wa Mungu, Mpeni BWANA utukufu na nguvu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaburi ya Daudi. Mumupe Yawe heshima, enyi viumbe vya mbingu, museme kwamba Yawe ni mutukufu na mwenye nguvu.