Psalms 29:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ameketi juu ya gharika; Mwenyezi-Mungu ni mfalme atawalaye milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu huketi akiwa ametawazwa juu ya gharika; Mwenyezi Mungu ametawazwa kuwa Mfalme milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana aliketi juu ya Gharika; Naam, Bwana ameketi hali ya mfalme milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ameketi juu ya gharika; Mwenyezi-Mungu ni mfalme atawalaye milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA huketi akiwa ametawazwa juu ya gharika; BWANA ametawazwa kuwa Mfalme milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana huketi akiwa ametawazwa juu ya gharika; bwana ametawazwa kuwa Mfalme milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA aketi juu ya Gharika; Naam, BWANA ameshika hatamu ya ufalme milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ameketi juu ya gharika; Mwenyezi-Mungu ni mfalme atawalaye milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo penye mafuriko ya maji Bwana alikaa juu yao; ndivyo, atakavyokaa kuwa mfalme wa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA aliketi juu ya Gharika; Naam, BWANA ameketi hali ya mfalme milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ameikaa juu ya mafuriko ya maji; Yawe ni mufalme anayetawala milele.