Psalms 29:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu na awape watu wake nguvu! Mwenyezi-Mungu na awabariki watu wake kwa amani!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu huwapa watu wake nguvu; Mwenyezi Mungu huwabariki watu wake kwa kuwapa amani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana atawapa watu wake nguvu; Bwana atawabariki watu wake kwa amani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu na awape watu wake nguvu! Mwenyezi-Mungu na awabariki watu wake kwa amani!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA huwapa watu wake nguvu; BWANA huwabariki watu wake kwa kuwapa amani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana huwapa watu wake nguvu; bwana huwabariki watu wake kwa kuwapa amani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA na awape watu wake nguvu; BWANA na awabariki watu wake kwa amani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu na awape watu wake nguvu! Mwenyezi-Mungu na awabariki watu wake kwa amani!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana atawapa nguvu walio ukoo wake, Bwana atawabariki walio ukoo wake, wapate kutengemana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA atawapa watu wake nguvu; BWANA atawabariki watu wake kwa amani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe awape watu wake nguvu! Yawe awabariki watu wake kwa amani!