Psalms 29:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Semeni jina la Mwenyezi-Mungu ni tukufu. Mwabuduni katika mahali pake patakatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpeni Mwenyezi Mungu utukufu unaostahili jina lake; mwabuduni Mwenyezi Mungu katika uzuri wa utakatifu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpeni Bwana utukufu wa jina lake; Mwabuduni Bwana kwa uzuri wa utakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Semeni jina la Mwenyezi-Mungu ni tukufu. Mwabuduni katika mahali pake patakatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpeni BWANA utukufu unaostahili jina lake; mwabuduni BWANA katika uzuri wa utakatifu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpeni bwana utukufu unaostahili jina lake; mwabuduni bwana katika uzuri wa utakatifu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpeni BWANA utukufu wa jina lake; Mwabuduni BWANA kwa uzuri wa utakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Semeni jina la Mwenyezi-Mungu ni tukufu. Mwabuduni katika mahali pake patakatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Liheshimuni nalo Jina lake Bwana lenye utukufu! Mtambikieni Bwana na kuvaa mapambo yapasayo Patakatifu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpeni BWANA utukufu wa jina lake; Mwabuduni BWANA kwa uzuri wa utakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Museme kwamba jina la Yawe ni tukufu. Mumwabudu katika pahali pake patakatifu.