Psalms 29:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sauti ya Mwenyezi-Mungu yasikika juu ya maji; Mungu mtukufu angurumisha radi, sauti ya Mwenyezi-Mungu yasikika juu ya bahari!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauti ya Mwenyezi Mungu iko juu ya maji; Mungu wa utukufu hupiga radi, Mwenyezi Mungu hupiga radi juu ya maji makuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauti ya Bwana i juu ya maji; Mungu wa utukufu alipiga radi; Bwana yu juu ya maji mengi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sauti ya Mwenyezi-Mungu yasikika juu ya maji; Mungu mtukufu angurumisha radi, sauti ya Mwenyezi-Mungu yasikika juu ya bahari!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauti ya BWANA iko juu ya maji; Mungu wa utukufu hupiga radi, BWANA hupiga radi juu ya maji makuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauti ya bwana iko juu ya maji; Mungu wa utukufu hupiga radi, bwana hupiga radi juu ya maji makuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauti ya BWANA inasikika juu ya maji; Mungu wa utukufu apiga radi; BWANA yu juu ya maji mengi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sauti ya Mwenyezi-Mungu yasikika juu ya maji; Mungu mtukufu angurumisha radi, sauti ya Mwenyezi-Mungu yasikika juu ya bahari!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauti ya Bwana husikilika hata baharini, Mungu mwenye utukufu ndiye apigishaye nayo ngurumo. Nako kwenye vilindi vya bahari ndiko, aliko Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauti ya BWANA i juu ya maji; Mungu wa utukufu alipiga radi; BWANA yu juu ya maji mengi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sauti ya Yawe inasikilika juu ya maji; Mungu mutukufu anapiga radi, sauti ya Yawe inasikilika juu ya bahari!