Psalms 29:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sauti ya Mwenyezi-Mungu ina nguvu, sauti ya Mwenyezi-Mungu imejaa fahari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauti ya Mwenyezi Mungu ina nguvu; sauti ya Mwenyezi Mungu ni tukufu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauti ya Bwana ina nguvu; Sauti ya Bwana ina adhama;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sauti ya Mwenyezi-Mungu ina nguvu, sauti ya Mwenyezi-Mungu imejaa fahari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauti ya BWANA ina nguvu; sauti ya BWANA ni tukufu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauti ya bwana ina nguvu; sauti ya bwana ni tukufu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauti ya BWANA ina nguvu; Sauti ya BWANA ina utukufu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sauti ya Mwenyezi-Mungu ina nguvu, sauti ya Mwenyezi-Mungu imejaa fahari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauti ya Bwana ni yenye nguvu, sauti ya Bwana ni yenye ukuu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauti ya BWANA ina nguvu; Sauti ya BWANA ina adhama;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sauti ya Yawe ni yenye nguvu, sauti ya Yawe ni yenye mamlaka.