Psalms 29:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sauti ya Mwenyezi-Mungu huvunja mierezi; Mwenyezi-Mungu avunja mierezi ya Lebanoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauti ya Mwenyezi Mungu huvunja mierezi; Mwenyezi Mungu huvunja vipande vipande mierezi ya Lebanoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauti ya Bwana yaivunja mierezi; Naam, Bwana aivunja-vunja mierezi ya Lebanoni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sauti ya Mwenyezi-Mungu huvunja mierezi; Mwenyezi-Mungu avunja mierezi ya Lebanoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauti ya BWANA huvunja mierezi; BWANA huvunja vipande vipande mierezi ya Lebanoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauti ya bwana huvunja mierezi; bwana huvunja vipande vipande mierezi ya Lebanoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauti ya BWANA yaivunja mierezi; Naam, BWANA aivunjavunja mierezi ya Lebanoni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sauti ya Mwenyezi-Mungu huvunja mierezi; Mwenyezi-Mungu avunja mierezi ya Lebanoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauti ya Bwana huvunja miangati, kweli Bwana huivunja miangati ya Libanoni
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauti ya BWANA yaivunja mierezi; Naam, BWANA aivunja-vunja mierezi ya Lebanoni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sauti ya Yawe inavunja miti mikubwa ya mierezi; Yawe anavunja mierezi ya Lebanoni.