Psalms 29:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huirusha milima ya Lebanoni kama ndama, milima ya Sirioni kama mwananyati.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hufanya Lebanoni irukaruke kama ndama, Sirioni urukaruke kama mwana nyati.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Airusha-rusha kama ndama wa ng'ombe; Lebanoni na Sirioni kama mwana-nyati.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huirusha milima ya Lebanoni kama ndama, milima ya Sirioni kama mwananyati.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hufanya Lebanoni irukaruke kama ndama, Sirioni urukaruke kama mwana nyati.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hufanya Lebanoni irukaruke kama ndama, Sirioni urukaruke kama mwana nyati.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Airusharusha Lebanoni kama ndama wa ng'ombe; Lebanoni na Sirioni kama mwananyati.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huirusha milima ya Lebanoni kama ndama, milima ya Sirioni kama mwananyati.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akiichezesha, icheze kama ndama, ile ya Libanoni na ya Sirioni icheze kama wana wa nyati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Airusha-rusha kama ndama wa ng’ombe; Lebanoni na Sirioni kama mwana-nyati.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anarusha milima ya Lebanoni kama mwana-ngombe, milima ya Hermoni kama mwana-mbogo.