Psalms 29:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sauti ya Mwenyezi-Mungu hutoa miali ya moto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauti ya Mwenyezi Mungu hupiga kwa miali ya radi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauti ya Bwana yaipasua miali ya moto;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sauti ya Mwenyezi-Mungu hutoa miali ya moto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauti ya BWANA hupiga kwa miali ya umeme wa radi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauti ya bwana hupiga kwa miali ya umeme wa radi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauti ya BWANA inatoa miale paa ya moto;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sauti ya Mwenyezi-Mungu hutoa miali ya moto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauti ya Bwana hutema miali ya moto,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauti ya BWANA yaipasua miali ya moto;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sauti ya Yawe inatokeza ndimi za moto.