Psalms 29:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sauti ya Mwenyezi-Mungu hutetemesha jangwa, Mwenyezi-Mungu hutetemesha jangwa la Kadeshi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauti ya Mwenyezi Mungu hutikisa jangwa; Mwenyezi Mungu hutikisa Jangwa la Kadeshi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauti ya Bwana yalitetemesha jangwa; Bwana alitetemesha jangwa la Kadeshi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sauti ya Mwenyezi-Mungu hutetemesha jangwa, Mwenyezi-Mungu hutetemesha jangwa la Kadeshi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauti ya BWANA hutikisa jangwa; BWANA hutikisa Jangwa la Kadeshi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauti ya bwana hutikisa jangwa; bwana hutikisa Jangwa la Kadeshi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauti ya BWANA yalitetemesha jangwa; BWANA alitetemesha jangwa la Kadeshi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sauti ya Mwenyezi-Mungu hutetemesha jangwa, Mwenyezi-Mungu hutetemesha jangwa la Kadeshi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauti ya Bwana hutetemesha nyika. Bwana aliitetemesha nayo nyika ya kule Kadesi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauti ya BWANA yalitetemesha jangwa; BWANA alitetemesha jangwa la Kadeshi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sauti ya Yawe inatetemesha jangwa, Yawe anatetemesha jangwa la Kadesi.