Psalms 3:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya Daudi alipomkimbia Absalomu) Ee Mwenyezi-Mungu, tazama walivyo wengi adui zangu, ni wengi mno hao wanaonishambulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, tazama adui zangu walivyo wengi! Ni wengi kiasi gani wanaoinuka dhidi yangu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, watesi wangu wamezidi kuwa wengi, Ni wengi wanaonishambulia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, tazama walivyo wengi adui zangu, ni wengi mno hao wanaonishambulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi Ya Daudi Alipomkimbia Absalomu) Ee BWANA, tazama adui zangu walivyo wengi! Ni wengi kiasi gani wanaoinuka dhidi yangu!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, tazama adui zangu walivyo wengi! Ni wengi kiasi gani wanaoinuka dhidi yangu!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, watesi wangu wamezidi kuwa wengi, Ni wengi wanaonishambulia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, tazama walivyo wengi adui zangu, ni wengi mno hao wanaonishambulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, tazama, jinsi walivyo wengi wanaonisonga! Tena ni wengi wanaoniinukia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, watesi wangu wamezidi kuwa wengi, Ni wengi wanaonishambulia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaburi ya Daudi. Inaelekea wakati alipomukimbia mwana wake Abusaloma.