Psalms 3:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wewe ee Mwenyezi-Mungu u ngao yangu kila upande; kwako napata fahari na ushindi wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wewe, Ee Mwenyezi Mungu, ni ngao yangu pande zote; umeniwekea utukufu na kuinua kichwa changu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Wewe, Bwana, U ngao yangu pande zote, Utukufu wangu na mwinua kichwa changu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wewe ee Mwenyezi-Mungu u ngao yangu kila upande; kwako napata fahari na ushindi wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wewe, Ee BWANA, ni ngao pande zote; umeniwekea utukufu na kuinua kichwa changu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wewe, Ee bwana, ni ngao pande zote; umeniwekea utukufu na kuinua kichwa changu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Wewe, BWANA, U ngao yangu pande zote, Utukufu wangu na mwinua kichwa changu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wewe ee Mwenyezi-Mungu u ngao yangu kila upande; kwako napata fahari na ushindi wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wewe Bwana, u ngao inikingiayo, kwa kuwa utukufu wangu utakikweza kichwa changu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Wewe, BWANA, U ngao yangu pande zote, Utukufu wangu na mwinua kichwa changu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wengi wanasema juu yangu: “Hautapata musaada wowote kwa Mungu.”