Psalms 3:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nakulilia kwa sauti, ee Mungu, nawe wanisikiliza kutoka mlima wako mtakatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninamlilia Mwenyezi Mungu kwa sauti kuu, naye ananijibu kutoka mlima wake mtakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sauti yangu namwita Bwana Naye aniitikia toka mlima wake mtakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nakulilia kwa sauti, ee Mungu, nawe wanisikiliza kutoka mlima wako mtakatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninamlilia BWANA kwa sauti kuu, naye ananijibu kutoka katika mlima wake mtakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninamlilia bwana kwa sauti kuu, naye ananijibu kutoka mlima wake mtakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sauti yangu namwita BWANA Naye aniitikia toka mlima wake mtakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nakulilia kwa sauti, ee Mungu, nawe wanisikiliza kutoka mlima wako mtakatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninapoipaza sauti yangu, ifike kwake Bwana, huniitikia toka mlimani kwenye utakatifu wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sauti yangu namwita BWANA Naye aniitikia toka mlima wake mtakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wewe, ee Yawe, unanizunguka kama ngao; kwako ninapata utukufu na ushindi.