Psalms 3:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nalala na kupata usingizi, naamka tena maana wewe ee Mwenyezi-Mungu wanitegemeza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninajilaza na kupata usingizi; naamka tena, kwa maana Mwenyezi Mungu hunitegemeza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalijilaza nikalala usingizi, nikaamka, Kwa kuwa Bwana ananitegemeza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nalala na kupata usingizi, naamka tena maana wewe ee Mwenyezi-Mungu wanitegemeza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninajilaza na kupata usingizi; naamka tena, kwa maana BWANA hunitegemeza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninajilaza na kupata usingizi; naamka tena, kwa maana bwana hunitegemeza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilijilaza na kulala usingizi, kisha nikaamka tena, Kwa kuwa BWANA ananitegemeza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nalala na kupata usingizi, naamka tena maana wewe ee Mwenyezi-Mungu wanitegemeza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi nililala usingizi, kisha nikaamka, kwani mwenye kunishikiza ni Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalijilaza nikalala usingizi, nikaamka, Kwa kuwa BWANA ananitegemeza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakulilia kwa sauti, ee Mungu, nawe unanisikiliza kutoka kwenye mulima wako mutakatifu.