Psalms 3:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sitayaogopa maelfu ya watu, wanaonizingira kila upande.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sitaogopa makumi elfu ya adui, wanaojipanga dhidi yangu kila upande.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sitayaogopa makumi elfu ya watu, Waliojipanga juu yangu pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sitayaogopa maelfu ya watu, wanaonizingira kila upande.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sitaogopa makumi elfu ya adui, wanaojipanga dhidi yangu kila upande.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sitaogopa makumi elfu ya adui, wanaojipanga dhidi yangu kila upande.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sitayaogopa maelfu na maelfu ya watu, Waliojipanga Juu yangu pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sitayaogopa maelfu ya watu, wanaonizingira kila upande.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ijapo, watu wawe maelfu na maelfu, siwaogopi, wakija kunipangia na kunizunguka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sitayaogopa makumi elfu ya watu, Waliojipanga juu yangu pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninalala na kupata usingizi, ninaamuka tena, maana wewe ni tegemeo langu.