Psalms 3:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ndiwe uokoaye; uwape baraka watu wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana wokovu watoka kwa Mwenyezi Mungu. Baraka yako na iwe juu ya watu wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wokovu una Bwana; Baraka yako na iwe juu ya watu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ndiwe uokoaye; uwape baraka watu wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana wokovu watoka kwa BWANA. Baraka yako na iwe juu ya watu wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana wokovu watoka kwa bwana. Baraka yako na iwe juu ya watu wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wokovu ni wa BWANA; Baraka yako na iwe juu ya watu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ndiwe uokoaye; uwape baraka watu wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwako Bwana uko wokovu, uwapatie mema wao walio ukoo wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wokovu una BWANA; Baraka yako na iwe juu ya watu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, ee Mungu wangu, wewe unayevunja waadui zangu wote mataya, unayeponda waovu meno, simama sasa uniokoe!