Psalms 30:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya Daudi) Ee Mwenyezi-Mungu, nakutukuza maana umeniokoa, wala hukuwaacha maadui zangu wanisimange.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitakutukuza wewe, Ee Mwenyezi Mungu, kwa kuwa umeniinua kutoka vilindi, na hukuacha adui zangu washangilie juu yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, nitakutukuza kwa maana umeniinua, Wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, nakutukuza maana umeniokoa, wala hukuwaacha maadui zangu wanisimange.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utenzi Wa Kuweka Wakfu Hekalu (Zaburi Ya Daudi) Nitakutukuza wewe, Ee BWANA, kwa kuwa umeniinua na hukuacha adui zangu washangilie juu yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitakutukuza wewe, Ee bwana, kwa kuwa umeniinua kutoka vilindi, na hukuacha adui zangu washangilie juu yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, nitakutukuza kwa maana umeniinua, Wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, nakutukuza maana umeniokoa, wala hukuwaacha maadui zangu wanisimange.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitakutukuza Bwana, kwani umeniopoa, hukuwapa adui zangu kunifurahia mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, nitakutukuza kwa maana umeniinua, Wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mashairi yanayoelekea muzinduo wa hekalu. Zaburi ya Daudi.