Psalms 30:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usikie, ee Mwenyezi-Mungu, unihurumie; ee Mwenyezi-Mungu, unisaidie!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, unisikie na kunihurumia; Ee Mwenyezi Mungu, uwe msaada wangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, usikie, unirehemu, Bwana, uwe msaidizi wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usikie, ee Mwenyezi-Mungu, unihurumie; ee Mwenyezi-Mungu, unisaidie!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, unisikie na kunihurumia, Ee BWANA, uwe msaada wangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, unisikie na kunihurumia, Ee bwana, uwe msaada wangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, usikie, unirehemu, BWANA, uwe msaidizi wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usikie, ee Mwenyezi-Mungu, unihurumie; ee Mwenyezi-Mungu, unisaidie!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sikia, Bwana, uniwie mpole! Bwana, nitokee kuwa msaidiaji wangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, usikie, unirehemu, BWANA, uwe msaidizi wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Utapata faida gani nikikufa na kushuka mpaka katika shimo la wafu? Mavumbi ya wafu yanaweza kukusifu? Yanaweza kusimulia uaminifu wako?